Merry Christmas 2015

Pamoja kwa Umoja

Friday, June 16, 2017

Amini: Uhuru Kenyatta jibu la Wakenya

Kuelekea uchaguzi mkuu wa Kenya Agosti 8 mwaka huu, Msanii wa Bongo Fleva Amini Mwinyi Mkuu ameutazama uchaguzi huo kama fursa katika medani ya muziki. 
Amini Mwinyimkuu Juni 16, 2017 jijini Dar es Salaam
Amini amesema anaunga mkono Kambi ya Jubilee inayoongozwa na Uhuru Kenyatta anayetetea nafasi ya kiti hicho kwenye uchaguzi. Amini ameongeza kwa kuonyesha hilo amepeleka wimbo wa Kampeni kumpiga ‘tafu’ Kenyatta katika harakati zake. 

“Wimbo ule wa Ni wewe, nimechukua na kuutungia kumpiga tafu Kenyatta, ninachokisubiri kwa sasa ni wakishaupitia na wakauona unafaa naweza kufanya nao kazi,” alisema Amini. 

Aidha msanii huyo ameweka bayana kuwa katika wimbo huo wa kumfanyia kampeni Kenyatta amewataka waKenya kumpa nafasi kiongozi huyo.

No comments:

Post a Comment

Jabir Johnson at Mkalama, Singida on 25 May 2016

Jabir Johnson at Mkalama, Singida on 25 May 2016

Jabir Johnson at Msolwa Sec. School

Jabir Johnson at Msolwa Sec. School
It was 28th May 2016

Jabir Johnson (The Journalist)

Ligi Kuu za Kandanda

Ligi Kuu za Kandanda

Jabir Johnson at BWM Stadium

Jabir Johnson Mking'imle

Jabir Johnson in Dar es Salaam

Jabir Johnson in Dar es Salaam

UCL 2015/16

Cristiano Ronaldo

Lake Victoria source of River Nile

Lake Victoria source of River Nile
Jabir Johnson at source of River Nile, Lake Victoria on May 21, 2016
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

G


website counters

TOPSy KRETTS

Followers