BRAZIL 2014

“FIFA World Cup 2014” Twendezetuni Brazuca 2014 tujionee Juni 12-Julai 13

Tuesday, July 10, 2012

TANZANIA FOOTBALL NEWS: YANGA YAINYUKA JKT RUVU 2-0 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI


Mechi ya kirafiki kati ya Dar Young African na JKT Ruvu imemalizika kwa Yanga kuondoka na ushindi wa 2-0. Magoli ya Yanga yamefungwa na beki Nadir Haroub Cannavaro kwenye dakika ya 18, na Hamis Kiiza kwenye dakika ya 73.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

G


website counters

BLOGU NYINGINE